Chumba cha wanahabari

 • Ikoni ya maktaba ya Vyombo vya habari

  Kampeni

  Angalia kampeni zinazoangazia jumuia ya YouTube.

 • Ikoni ya maktaba ya Vyombo vya habari

  B-Roll

  Video kuhusu YouTube kwa wanahabari.

Takwimu

 • YouTube ina zaidi ya watumiaji bilioni moja. Hii ni takribani theluthi moja ya watu wote wanaotumia Intaneti. Watu hutazama YouTube kwa mamia ya mamilioni ya saa na wanaitazama mara mabilioni kila siku.
 • Idadi ya saa ambazo watu hutumia kutazama video (yaani, saa za kutazama video) kwenye YouTube imeongezeka kwa 60% kwa mwaka. Hili ni ongezeko la juu sana ambalo limefanyika katika miaka miwili.
 • Idadi ya saa ambazo watu hutumia kutazama video kwenye vifaa vya mkononi imekuwa imeongezeka kwa 100% kwa mwaka.
 • Pata maelezo zaidi